Sunday 6 August 2017

YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB: BEKI GABRIEL MICHAEL ATUA YANGA AKITOKEA AZAM FC


Beki wa Azam FC, Gabriel Michael, amesajiliwa na Young Africans (Yanga) kwa mkataba wa miaka miwili...
Michael ametua Jangwani kuimarisha safu ya ulinzi upande wa kushoto katika msimu ujao...Kabla ya usajili huu Charles Boniface Mkwasa alisema "Gabriel ni mcheaji mzuri na kocha George Lwandamina amevutiwa na mchezaji huyo..." 

No comments:

Post a Comment