Monday 28 August 2017

THRONE CUP: MSUVA ATUPIA BAO HUKO MOROCCO AKISAIDIA TIMU YAKE MPYA YA JADIDA


Winga hatari kabisa Tanzanian international Simon Happygod Msuva amefunga bao safi katika mechi dhidi ya CR Khemis Zemamra ndani ya uwanja wa Grand Prix jijini Marrakesh...

Msuva alipachika bao mnamo dakika ya 62 na lilikuwa bao la 3.

Msuva alishangiliwa sana na mashabiki huku wakiimba jina lake kwa sana.

Mchezaji huyo wa zamani wa Young Africans Sports Club al-maaruf kama Yanga alijiunga na Difaa Hassan El-Jadida mwezi uliopita.

Alikuwa mchezaji bora na mfungaji bora Ligi ya Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment