Sunday, 29 January 2017
VODACOM PEMIER LEAGUE: YOUNG AFRICANS (YANGA) KILELENI BAADA YA KUIZAMISHA MWADUI 2-0
Young Africans (Yanga) wamewapiku watani wao wa jadi Simba Sports Club baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mwadui FC...
Mzambia Obrey Chirwa akitokea benchi ndie aliyepachika mabao yote...Chirwa alifubga mabao yote kipindi cha 2...Alichukua nafasi ya Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima...
Mechi ilikuwa nzuri na mashambulizi yalifanyika pande zote...Mwadui waishukuru beki yake maana mashambulizi ya Yanga yalikuwa hatari sana... Simba walichapwa na wanalambalamba auvmatajiri wa Chamazi Azam FC 1-0 jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment