Tuesday, 31 January 2017

EMMANUEL ADEBAYOR: ADEBAYOR HAJI TENA YOUNG AFRICANS (YANGA) AMEINGIA ISTANBUL BASAKSEHIR YA UTURUKI


Striker aliyewahi kuzichezea Arsena, Tottenham Hotspur na Manchester City ameingia timu ya Istanbul Basaksehir ya Uturuki...
Forward huyo wa Togo ilikuwa aje Yanga kwa tetesi za agent wake lakini haikuwezekana...Amesaini mkataba na Basaksehir wa miezi 18 na mafao yako bado kutangazwa...


Basaksehir yako nasafi ya pili ligi kuu ya Uturuki ya Super Lig... Yanga wangeula angekuja Jangwani kutokana na uzoefu wake...Yanga sasa inaongoza ligi kuu bara ya VP.

No comments:

Post a Comment