Thursday, 26 January 2017

YOUNG AFRICANS: EMMANUEL ADEBAYOR KUINGIA YOUNG AFRICANS (YANGA), ASEMA AGENT


Togo international Emmanuel Adebayor kujiunga na Young Africans (Yanga) asema Agent...

Mchezaji huyo maarufu kwa sasa hana ti. U na hajacheza kwenye ligi ya Uingereza toka atoke Crystal Palace mwezi wa 6 mwaka jana.

Adebayor amewahi kuchezea clubs kubwa za Uingereza ikiwemo Arsenal na Tottenham Hotspur. 



Adebayor ametoka kuichezea timu ya nchi yake ya Togo ambayo haikufanikiwa kusonga mbele michuano ya Africa Cup of Nations (AFCON) yanayoenselea huko Gabon.

Kama akitua Yanga itakuwa jambo jema kwa wana Jangwani. 

Uzoefu wake wa kimataifa utawasaidia wachezaji wa Yanga. 

No comments:

Post a Comment