Sunday 6 May 2018

NAMUNGO FC: WAZIRI MKUU APOKEA MIPIRA 25 KUTOKA KWA MKURUGENZI WA COCA-COLA

(Pic: Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amepokea mipira 25 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Coca-Cola...
Basil Gadsios ametoa mipira hiyo kwa ajili ya timu ya Namungo FC kutoka Wilaya ya Ruangwa. 

Mh. Majaliwa alikuwa kwenye makazi ya Waziri Mkuu akipokea zawadi hiyo ya mipira. 

No comments:

Post a Comment