Saturday 19 May 2018

YOUNG AFRICANS (YANGA): KOCHA MPYA KUTOKA DRC ASAINI MKATABA


Kocha mpya wa Dar es Salaam Young Africans, Mwinyi Zahera, anayetoka Kongo au kwa lugha rahisi DRC ametia saini mkataba mpya na Yanga wa muda wa miezi 6...
Kwa sasa yanga itatuliza 'mzuka' na ujipanga tena kuwania ubingwa ambao uliwaponyoka mwishoni. 

Yanga walikuwa mabingwa toka 2013 mpaka mwaka jana  na mwaka huu wapinzani wao wakuu Simba ndio mabingwa. 


No comments:

Post a Comment