Tuesday, 3 January 2017

TAIFA STARS: BONIFACE MKWASA AJIUZULU NA NAFASI YAKE IMECHUKULIWA KWA MUDA NA SALUM MAYANGA

 

Kocha wa Mtibwa Sugar na kocha msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga, amechukua nafasi ya Charles Boniface Mkwasa ambae ameachia ngazi nafasi hiyo...
Mkataba wa Mkwasa ulikuwa unamalizaka mwezi wa 3...Mkwasa alichukua nafasi ya Mart Nooij ambae alitimuliwa...


TFF kupitia Rais Jamal Malinzi wamethibitisha kuwa hawako tena na Mkwasa na nafasi yake imechukuliwa na Salum Mayanga...TFF imemshukuru Charles Boniface Mkwasa kwa kazi yake kama kocha wa timu ya Taifa...

No comments:

Post a Comment