Real Madrid imeonyesha ulimwengu jinsi walivyo kuwa fit baada ya kuichapa Barcelona mabao 3-1...Barca ndio game yao ya kwanza kupoteza...Benzema alicheza vizui sana na kuwakosa kosa Barca na kujipatia goli laki sana...Neymar ndie alieanza kufunga mapema mpaka Ronaldo aliposawazisha dakika ya 35 kwa penalty...Pepe aliawapeleka mbele dakika ya 50 na Karim Benzema kupachika bao safi dakika ya 61...Hebu cheki hapo chini mambo yalivyokuwa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Bingwa wa tennis Rafa Nadal amechapwa straight sets na dogo Borna Coric mwenye umri wa miaka 17 tu kwenye michuano ya Swiss Indoors...Nadal alichapwa 6-2 7-6 (7/4) na kutangaza amemaliza msimu na atafanyiwa operaton ya appendix November 3...
Rafael Nadal
Rafa atakosa World Tours Final na Paris Masters kutokana na kutokuwa fit hasa mikono inamsumbua na sasa appendix inabidi itolewe...Bofya hapa upate habari zaidi.
Arsenal wamefanikiwa kushinda mechi yao dhidi ya RSC Anderlecht 2-1...Arsenal ndio walioanza kuchapwa bao kutoka kwa Andy Najar dakika ya 71 na ikaionekana kwamba hali itakuwa hivyo mpaka mwisho lakini dakika ya 89 Kieran Gibbs alisawazisha na Lukas Podolski akapachika bao la ushindi dakika za nyongeza...Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa Arsene Wenger kwahiyo ushindi huu umekuja wakati mzuri...Bofya haapa upate haabari zaidi.
Bayern Munich wameibugiza AS Roma mabao 7-1 kwenye mechi ambayo kwa mara ya kwanza kwenye mashindano ya Ulaya Bayern wanapata mabao mengi kama hayo...
Bayern sasa wanaongoza kundi E kwa points 5 na wako mbele ya Manchester City mbao walishindwa kushinda mechi yao dhidi ya CSKA Moscow ambayo walikuwa wanaongoza lakini wakaishia draw 2-2...Bayern walikuwa makini kwani possession ilikuwa 66% na shots on goal 22...Bofya hapa upate habari zaidi.