Saturday, 8 April 2017

YOUNG AFRICANS (YANGA): YANGA KUMKOSA TAMBWE MECHI DHIDI YA MC ALGERS


Kifaa muhimu kwa Yanga Amissi Tabwe hatocheza mechi dhidi ya MC Alger jiji Dar es Salaam leo...
Tambwe alikuwa anasumbuliwa na tatizo la goti na anaendelea vizuri kwani amepiga tizi na squad yake...Tambwe ameomba aongezewe muda kidogo ili awe asilimia 100 fiti...

Mwingine ambaye Yanga watamkosa ni Justin Zulu ambae aliumizwa vibaya sana na Himidi Mao...Zulu anatarajiwa kufunguliwa nyuzi kesho ili aendelee kufanya tizi tayari kwa mechi ya marudiano Aprili 15...

Viingilio vya leo ni VIP A 30,000, VIP B 20,000, VIP C 20,000 na mzunguko 3,000.