Monday, 21 March 2016

VAISAKHI RALLY 2016: USIKOSE RALLY KALI JIJINI MOSHI


Vaisakhi Rally (National Championship Rally Part II) itafanyika Moshi Jumapili kuanzia asubuhi saa 1 na nusu mpaka saa 11 na nusu...Rally itaanzia Sikh Union Club...Usikose Rally kali na kusisimua balaa....Karibu wote...

LA LIGA: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

1Barcelona306276
2Atl Madrid303267
3Real Madrid305966
4Villarreal301254
5Celta de Vigo30-848
6Sevilla30848
7Ath Bilbao30947
8Málaga30139
9Eibar30038
10Deportivo de La Coruña30-436
11Real Sociedad30-435
12Espanyol30-2535
13Real Betis30-1334
14Valencia30-334
15Las Palmas30-1033
16Rayo Vallecano30-2228
17Granada CF30-2428
18Getafe30-2428
19Sporting de Gijón30-2027
20Levante30-2624

LA LIGA: GARETH BALE AWA MFUNGAJI BORA KUTOKA UINGEREZA


Gareth Bale ameweka historia kwa kuwa mfungaji bora kutoka Uingereza kwenye ligi ya La Liga na alifanya hivyo kwenye game kali sana dhidi ya Sevilla ndani ya Bernabeu..Sevilla waligongwa 4-0 na Real Madrid...Bale alipata bao la 43 na kumpita mkongwe Garry Lineker aliokuwa anachezea Barcelona...



Pamoja na kufikia mabao 43 aligonga post mara 2 na bao moja lilikataliwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 20 March 2016

CAF CHAMPIONS LEAGUE2016: YANGA YASONGA MBELE


Bao la Donald Ngoma nimetosha kuipeleka Yanga round ya 2...Yanga imeitoa APR ya Rwanda katika michuanohiyo mikubwa sana Afrika...Yanga walitoa draw ya 1-1 na kupita kwa aggregate ya 3-2...Mechi nyingine ya Yanga itakuwa kati ya Al Ahly ya Egypt au Recreactivo de Lobolo ya Angola...Bofyya hapa upate habari zaidi.

F1: NICO ROSBERG ASHINDA AUSTRALIAN GP


Nico Roseberg wa team Mercedes ameshinda Australian GP...Australian GP ilikuwa na mambo mengi toka mwanzo mpaka mwisho...Kubwa ilikuwa ajali kubwa ya McLaren ya Fernando Alonso na Lewis Hamilton kuanza zibaya na kuwa nafasi ya 6 na kupambana mpaka nafasi ya 2...


Nico alifaidika na ajali kwani magari yote yanapunguza mwendo na pia Vettel alitumia matairi ambayo sio ndio maana Nico aliweza kushinda...Bofya hapa upate habari zaidi.