Showing posts with label Platini. Show all posts
Showing posts with label Platini. Show all posts

Tuesday, 18 June 2019

Monday, 21 December 2015

FIFA: BLATTER NA PLATINI WAFUNGIWA MIAKA 8


Kutokana na uchunguzi wa masuala ya rushwa ndani ya Fifa, kamati ya nidhamu imewafungia Sepp Blatter na Michel Platini miaka 8 kutojihusisha na kitu chochote kinacho husu mpira...Kwa mujibu wa uchunguzi Blatter na Platini wametumia vibaya ofisi za Fifa wakati Blatter alipompatia Platini ponds za Uingereza milioni 1.3...Blatter amesema atatetea jina late na atatetea Fifa na kuna watu wanamchafulia jina lake...Blatter ambae ni mswiss na Platini ambae ni mfaransa wamepigwa faini ya pounds 33,700 (Blatter) na pounds 54,000 (Platini)...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 12 November 2015

FIFA: SEPP BLATTER ALAZWA KUTOKANA NA MSONGO WA MAWAZO


Boss wa FIFA, Sepp Blatter, ambae amesimamishwa kwa tuhuma za rushwa amelazwa kutokana na msongo wa mawazo...Blatter atakaa hospitalini mpaka Jumanne ijayo...Blatter alisimamishwa kwa siku 90 kutokana na uchunguzi wa pesa Euro milioni 2 alizompa Platini kwa kazi maalum...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 30 July 2015

FIFA: PLATINI ATAKA KUONGOZA FIFA WENZAKE HAWATAKI



Michel Platini ametangaza anataka kuwania kiti cha juu kabisa cha Shirikisho la Soka Duniani Fifa lakini wenzake amabo pia wana wania hawataki....Platini alitangaza Jumatano kwama anataka kuwania nafasi ya juu kabisa ya Fifa tarehe 26 mwezi wa 2 mwakani...Prince Ali bin al-Hussein na Musa Bility wamesema Platini sio chaguo zuri kwa Fifa kwa sasa...Bofya hapa upate habari zaidi.