Sunday 29 March 2020

SHABAAN IDDI CHILUNDA WA AZAM FC AFUNGA NDOA


Sticker matata sana wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda, inasemekana ameamua kuweka 'jiko' ndani kimya kimya...

Mshambuliaji huyo ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Bi. Shammy. 


Ndoa ya Chilunda na Shammy imefanyika pasio na shamrashamra kabisa kwa kutoalika watu wa karibu kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa coronavirus. 


Kutokana na mlipuko hio wa virusi vya corona mikusanyiko hairuhusiwi kwa kipindi hiki. 

No comments:

Post a Comment