Showing posts with label Wayde van Niekerk. Show all posts
Showing posts with label Wayde van Niekerk. Show all posts

Monday, 15 August 2016

RIO 2016: WAYDE VAN NIERKERK AVUNJA REKODI YA MICHAEL JOHNSON YA MIAKA 17


Wayde van Niekerk kutoka South Africa amevunja rekoda ya dunia ya mita 400 kwenye Olympics za Rio...Niekerk amevunja rekodi ya mmarekani Michael Johnson ambae imedumu kwa miaka 17...Niekerk ametumia muda wa sekunde 43:03 na ni sekunde 0:15 mbele ya muda wa Johnson...Bofya hapa upate babari zaidi.

Monday, 14 March 2016

ATHLETICS: WAYDE VAN NIEKERK KUTOKA AFRIKA YA KUSINI AWEKA REKODI MPYA KATIKA RIADHA


Wayde van Niekerk amekuwa mtu wa kwanza kukimbia chini ya sekunde 10 kwenye mita 100, sekunde 20 mita 200 na sekunde 44mita 400...Van Niekerk alitumia sekunde 9.98 katika mbio za mita 100  huko Bloemfontein ukijumlisha na sekunde 90.94 mita 200 na sekunde 43.48 mita 400 taji la dunia...Bofya hapa upate habari zaidi.