Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Ujerumani. Show all posts
Showing posts with label Ujerumani. Show all posts
Tuesday, 5 April 2016
REAL MADRID: BAADA YA KUWACHAPA MAHASIMU WAO REAL SASA WAKO TAYARI KUIKABILI WOLFSBURG
Real wamesafiri kwenda kucheza na Wolfsburg baada ya ushindi wao dhidi ya Barcelona...Madrid wameonekana wakiwa na furaha tele na uhakika wa ushindi walivyo kuwa wanasafiri kwenda kucheza mechi ya Champions League huko Germany...
Walitumia shuttle kwenda Madrid-Barajas Airport na hapo wakaingia kwenye ndege binafi na kwenda Germany...
Wachezaji wote walipiga suti hatari kabisa mithili ya zile za Azam walivyo enda bondeni...Bofya hapa upate habari zaidi.
Saturday, 14 November 2015
FRANCE: FRANCE YASHINDA MECHI DHIDI YA GERMANY HUKU WAKUSHAMBULIWA MABOMU
Ufaransa jana ilivamiwa na magaidi huku watu 120 wakipoteza maisha...
Hali ilikuwa mbaya sana jana usiku kwani katikati ya game ya Franza na Germany mabomu mawili walilipuka hukju rais wa nchi hiyo, Francois Hollande, akiwa ndani ya uwanja akiangalia game...
Ilibidi wamtoe haraka rais na watu waingie uwanjani mpaka usalama wao uhakikiwe...Watu watatu walipoteza maisha eneo la uwanja...France ilishinda game hiyo lakini ilikumbwa na hali ya hatari ndani ya jiji la Paris ambako sehemu nyingine zilishambuliwa na wengine kushikiliwa mateka...
Ufaransa sasa imefunga mipaka yake yote na kutangaza hali ya hatari na jeshi lote liko kazini sasa...Wengi waliofariki walikuwa wanasikiliza mziki wa bendi moja ya kimarekani ya rock inayoitwa 'Eagle of Death Metal'...Tunawaombea kwa Mola wote waliopatwa na mkasa huu...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)






