Showing posts with label Ufaransa. Show all posts
Showing posts with label Ufaransa. Show all posts

Tuesday, 19 July 2016

Saturday, 23 April 2016

LIVERPOOL: MAMADOU SAKHO APATIKANA NA HATIA YA KUTUMIA MADAWA YALIYOPIGWA MARUFUKU


Habari zilizoingia hizi punde tu ni kuwa mchezaji maarufu na anayetegemewa sana na Liverpool, Mamadou Sakho, amepatinana na hatia ya kutumia madawa ya kuunguza mafuta mwilini kwa kushindwa kufaulu vipimo maalum...Sakho sasa anachunguzwa na Uefa baada ya hii kitu kutokea...Sakho anayetokea Ufaransa anaumri wa miaka 26 na hatokuwepo wakati wa kuchagua timu kipindi cha michuano ya Euro...Sakho alitokea PSG kwa dau la £18 milioni na amechezea timu yake mechi 34 na 10 za Uefa...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 14 November 2015

FRANCE: FRANCE YASHINDA MECHI DHIDI YA GERMANY HUKU WAKUSHAMBULIWA MABOMU


Ufaransa jana ilivamiwa na magaidi huku watu 120 wakipoteza maisha...


Hali ilikuwa mbaya sana jana usiku kwani katikati ya game ya Franza na Germany mabomu mawili walilipuka hukju rais wa nchi hiyo, Francois Hollande,  akiwa ndani ya uwanja akiangalia game...


Ilibidi wamtoe haraka rais na watu waingie uwanjani mpaka usalama wao uhakikiwe...Watu watatu walipoteza maisha eneo la uwanja...France ilishinda game hiyo lakini ilikumbwa na hali ya hatari ndani ya jiji la Paris ambako sehemu nyingine zilishambuliwa na wengine kushikiliwa mateka...


Ufaransa sasa imefunga mipaka yake yote na kutangaza hali ya hatari na jeshi lote liko kazini sasa...Wengi waliofariki walikuwa wanasikiliza mziki wa bendi moja ya kimarekani ya rock inayoitwa 'Eagle of Death Metal'...Tunawaombea kwa Mola wote waliopatwa na mkasa huu...Bofya hapa upate habari zaidi.