Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Mkwasa. Show all posts
Showing posts with label Mkwasa. Show all posts
Thursday, 8 October 2015
2018 FIFA WORLD CUP RUSSIA: TANZANIA YAICHAPA MALAWI 2-0
Taifa Stars jana ilifurahisha mashabiki wa soka nchini kwa ushindi wa dhidi ya Flames ya Malawi 2-0...Chini ya kocha mzawa na mashuhuri Charles Boniface Mkwasa timu ya taifa iliweza kumaliza mabao yote kipindi cha kwanza kupitia star Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu...Taifa Stars wataingia jijini Blantyre tayari kwa mechi Jumapili ijayo...Bofya hapa upate habari zaidi.
TFF: MKWASA ASAINI MKATABA MPYA
Boniface Mkwasa amesaini mkataba mpya na TFF wa mwaka mmoja na nusu...Mkwasa akichukuliwa na TFF kuisaidia timu ya taifa baada ya TFF kuachana na Marj Nooij...Jamal Malinzi, Rais wa TFF, amesema Mkwasa atalipwa vizuri kama Nooij na inabidi ainue vipaji vipya hasa vijana...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)

