Showing posts with label Johanna Konta. Show all posts
Showing posts with label Johanna Konta. Show all posts

Saturday, 1 October 2016

WUHAN OPEN FINALS: PETRA KIVTOVA BEATS DOMINIKA CIBULKOVA TO WIN WUHAN OPEN


Petra Kivkova seeded 14th provided a great display of tennis and in doing so beat Slovak 10th seed Dominika Cibulkova 6-1 6-1 in game that took 62 minutes...The Czech won her 1st title this year and her 2nd Wuhan title...Before that she beat world number 1 Angelique Kerber, Johanna Konta from Great Britain and Simona Halep.

Wednesday, 27 January 2016

AUSTRALIAN OPEN 2016: JOHHANA KONTA NA ANDY MURRAY WAINGIA NUSU FAINALI



Uingereza kwa mara ya kwanza toka mwaka 1977 inawachezaji wawili ndani ya nusu fainali...Johanna Konta na Andy Murray walifanikiwa kuiingia nusu fainali ya Australian Open baada ya kuwachapa Zhang Shuai kutoka China na David Ferrer kutoka Spain...


Mechi nyingine Raonic alifanikiwa kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza alivyomchapa Gael Monfils 6-3 3-6 6-3 6-4...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 19 January 2016

AUSTRALIAN OPEN: KONTA AMSHANGAZA VENUS ROUND YA KWAZA




Namba 24 wa Uingereza Johanna Konta amemchapa mkongwe wa tennis Venus Williams bila ubishi 6-4 6-2...Konta amesema Venus ni mchezaji mzuri sana na kushindwa kwake leo sio umri labda mambo mengine...Bofya hapa upate habari zaidi.