Showing posts with label Dominic Breazeale. Show all posts
Showing posts with label Dominic Breazeale. Show all posts

Sunday, 26 June 2016

BOXING: ANTHONY JOSHUA AMLAZA BREAZEALE ROUND YA 7


Anthony Joshua amebakiza mkanda wake wa IBF baada ya kumtandika Mmarekani Dominic Breazeale ndani ya O2 Arena...Breazeale alidondoshwa round ya 7 na ni mara ya kwanza anachezea kichapo...


Joshua toka mwanzo alikuwa hatari lakini Breazeale alipokea makonde mpaka Joshua round ya 6 akaanza kukasirika...Round ya 7 Joshua alianza kurusha makonde ya kutetea kabisa na ngumi yake ya kushoto ikamshusha Breazeale chini...Sasa Joshua yuko tayari kuzichapa na watu wenye uzoefu zaidi...


Joshua amesema angependa kumuenzi Muhammad Ali kwa kuzichapa barani Africa nchini ya Nigeria au Ghana...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 14 June 2016

BOXING: ANTHONY JOSHUA ANATAKA KUUNGANISHA MIKANDA YA HEAVYWEIGHT


Anthony Joshua amesema anataka kuunganisha mikanda na pia anasema bado kabisa hajaonyesha uwezo wake...Josh alitandika Charles Martin katika round 2 tu na kuchukua mkanda ndani ya O2 Arena...Joshua atatetea mkanda wake wa IBF dhidi ya Dominic Breazeale June 25 ndani ya o2 Arena...Joshua ajawahi kuchapwa katika michuano yake 16 na yote 16 kwa knockout (KO)...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 25 April 2016

BOXING: ANTHONY JOSHUA KUTETEA MKADA WAKE JUNE 25 NDANI YA O2 ARENA


Bingwa wa dunia katika uzito wa Heavyweight kupitia IBF, Anthony Jochua, atatetea mkanda wake dhidi ya mmarekani Dominic Breazeale....Dominic hajawahi kutwangwa toka awe pro boxer na kati ya ushindi wa ndondi 17 ametoa knockout 15...


Breazeale mrefu kwa inch 1 ni namba 13 duniani katika list ya wakali wa IBF chini ya Derek Chisora na David Haye...Bofya hapa upate habair zaidi.