Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Boateng. Show all posts
Showing posts with label Boateng. Show all posts
Wednesday, 3 August 2016
KEVIN-PRINCE BOATENG: BOATENG NDANI YA LAS PALMAS
Ghana international Kevin-Prince Boateng amekubali kuingia Las Palmas kwa mkataba wa mwaka 1...Boateng alikuwa hana club toka atoke AC Milan...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 14 June 2016
EURO 2016: GERMANY YASHINDA 2-0 DHIDI YA UKRAINE
![]() |
| Shweinsteiger |
Germany imeanza vizuri michuano mikali ya Euro 2016 kwa kuwafunga Ukraine 2-1...Bao la kwanza lilitoka kwa Shkodran Mustafi dakika ya 19 na la dakika za lala salama lilitoka kwa Shweinsteiger dakika za nyonyeza mwishoni kabisa...
![]() |
| Mustaafi akipiga kichwa hatari kabisa... |
Gumzo lilikuwa jinsi beki hatari Jerome Boateng alivyookoa bao kwenye mstari...Boateng alipiga sarakasi fulani hivi wakati anaokoa bao kwenye mstari na ilibakia kama sentimita chache sana kuingia...
![]() |
| Jerome boateng akiokoa bao golini... |
Uzuri wa teknologia ya golini au goal-line technology ndio ilionyesha mpira haujaingia maana ingekuwa utata sana...
![]() |
| Toni Kroos |
Pamoja na yote Germany bado hawajakaa sawa sawa...Kuna wakati unaona kabisa defense inazeembea na kipa anabaki kuokoa nafasi za Ukraine...Kifaa kilikuwa Toni Kroos katika midfield...Kroos aliweza kucontrol midfield na kusaidia safu ya mbele...Tuone huko mbelei labda watabadilika...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 31 May 2016
BOATENG: BEKI WA TIMU YA GERMANY JEROME BOATENG ASIKITISHWA NA KAULI YA KIBAGUZI ALIYOTOA KIONGOZI WA SIASA ZA MRENGO WA KULIA
Jerome Boateng ni mjerumani ambae baba yake anatokea Ghana ni mchezaji wa timu ya taifa ya Germany na Bayern Munich kama beki amesikitika na matamshi ya kiongozi wa siasa wa mrengo wa kulia wa chama cha AfD, Frauke Petry, ambae alisema kuwa wajerumani wengi wasingependa kuwa jirani ya Boateng...Matamshi hayo ya kibaguzi yamekasirisha watu wengi mpaka Waziri Mkuu kanena...Huyo mpuuzi ameomba radhi lakini pia amesema vibaya Mesut Ozil wakati Ozil ameenda kwenye hija huko Mecca...
![]() |
| Mesut Ozil akiwa Haj... |
Friday, 6 November 2015
JAY Z: ROC NATION SPORTS SIGNS GHANAIAN INTERNATIONAL JEROME BOATENG
Roc Nation Sports a sports company founded 2 years ago by hip-hop legend and billionaire Jay Z has signed Jerome Boateng a German International and a Bayern Munchen defender.
Subscribe to:
Posts (Atom)







