Showing posts with label Songea. Show all posts
Showing posts with label Songea. Show all posts

Monday, 12 September 2016

VPL: YANGA YAICHAPA MAJI MAJI NA KUKAA NAFASI YA 2


Yanga imeichapa Majimaji ya Siongea bila shida 3-0 na kuchukua nafasi ya 2 chini ya wana lambalamba Azam FC...Azam FC waliwachapa Mbeya City 2-1 ndani ya Sokoine Stadium na kushika uskani kwa sasa...Yanga inatofauti kubwa ya mabao ndio maana imeweza kuwaruka Simba na Mbeya City...Deus Kaseke na Amis Tambwe ndio walioinyanyua Yanga...Baada ya kutoka sare na Ndanda ndani ya Nangwanda Sijaona Stadium Yanga walihitaji ushindi maana walitakiwa kuwachapa ndanda ikawa ngumu...Katika mechi dhidi ya Majimaji Yanga walibadilika na kishambulia zaidi hasa kuanzia dakika ya 55 na kuendelea.

Thursday, 17 December 2015

YANGA: YANGA KILELENI BAADA YA KUICHAPA AFRICAN SPORTS



Yanga imerejea tena kilele baada ya kuichapa African Sports 1-0 ndani ya uwanja wa Mkwakwani...Kwa sasa Yanga ina points 27 na ikisubiri mechi kati ya Azam FC na Maji Maji huko Songea Jumamosi ijayo...Bofya hapa upate habari zaidi.