Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Gabrine Muguruza. Show all posts
Showing posts with label Gabrine Muguruza. Show all posts
Friday, 27 October 2017
Monday, 10 July 2017
Sunday, 5 June 2016
FRENCH OPEN 2016: GABRINE MUGURUZA AMTOA SERENA WILLIAMS NA KUBEBA KOMBE LA ROLAND GARROS
Gabrine Muguruza anayetokea Spain ameshangaza ulimwengu wa tennis kwa kumtoa namba 1 duniani Serena Williams kwa set zote....
mwenye umri wa miaka 22 ameshinda Grand Slam yake ya kwanza kabisa na amekuwa mtu wa kwanza kutoka Spain kushinda Roland Garros toka mwaka 1998 aliposhinda Arantxa Sanchez-Vicario...
Muguruza alisema amefurahi kushinda na pia kushinda dhidi ya mchezaji bora duniani...Bofya hapa upate habari zaidi.
Saturday, 23 January 2016
AUSTRALIAN OPEN 2016: NAMBA 3 DUNIANI NJE
Australian Open imeanza kupamba moto kwani kutolewa kwa wakongwe sio jambo la kawaida...Namba 3 duniani, Gabrine Muguruza, kafyekwa na namba 48 duniani Barbora Strykova 6-3 6-2...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 11 October 2015
CHINA OPEN FINAL: DJOKOVIC AMCHAKAZA NADAL
Novak Djokovic amechukua ubingwa wa ATP China Open kwa mara ya 6...Djokovic alifanya hivyo baada ya kumchapa vibaya sana mkongwe wa clay court Rafa Nadal 6-2 6-2...Kwa upande wa wanawake Gabrine Muguruza alishinda kwa kumchapa Timea Bacsinszky katika fainali ya WTA...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 12 July 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)






