Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Costa. Show all posts
Showing posts with label Costa. Show all posts
Thursday, 21 October 2021
Thursday, 5 May 2016
CHELSEA: ANTONIO CONTE ANAMTAKA GONZALO
Kocha mpya anayeingia kuinoa Chelsea msimu ujao amesema anamtaka Gonzalo Higuain...Shida ni Higuain hamtaki Costa kwahiyo inabidi Costa atokee benchi au ahame nafasi...Higuain anayetkea Argentina dau lake ni £42 milioni na Conte anamhitaji sana ila ndio hataki kuwa chini ya Costa...Kuna tetesi huko China wanamtaka Costa na anaweza kupata dau la £300,000 kwa wiki lakini kwa sasa bado ataendelea kuwa mdau wa Chelsea...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 2 March 2016
EPL: BAO LA HARAKA LA MSIMU LATOKA KWA KENEDY WA CHELSEA
Beki wa kushoto, Kennedy, kutoka Brazil amefunga bao la haraka sana la msimu huu kwa kutumia sekunde 39 tu na bao la Costa limewapaisha Chelsea mpaka nafasi ya 8...
Bao la Norwich ambao wako chini ya msimamo wa ligi walipata bao 1 kupitia Nathan Redmond...
Mechi ilimalizika 1-2 na sasa Chelsea wanapumua vizuri na wanafukuzia nafasi za juu kwani hali ilikuwa tete hapo nyuma...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)




