Showing posts with label Nathan Redmond. Show all posts
Showing posts with label Nathan Redmond. Show all posts

Saturday, 25 June 2016

SOUTHAMPTON: NATHAN REDMOND ASAINI MKATABA NA SOUTHAMPTON


Nathan REDMOND ameshinda mkataba wa miaka 5 akitokea Norwich...England U 21 ni winger mzuri na amekuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Southampton baada ya ligi kumalizika...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 2 March 2016

EPL: BAO LA HARAKA LA MSIMU LATOKA KWA KENEDY WA CHELSEA


Beki wa kushoto, Kennedy, kutoka Brazil amefunga bao la haraka sana la msimu huu kwa kutumia sekunde 39 tu na bao la Costa limewapaisha Chelsea mpaka nafasi ya 8...


Bao la Norwich ambao wako chini ya msimamo wa ligi walipata bao 1 kupitia Nathan Redmond...


Mechi ilimalizika 1-2 na sasa Chelsea wanapumua vizuri na wanafukuzia nafasi za juu kwani hali ilikuwa tete hapo nyuma...Bofya hapa upate habari zaidi.