Showing posts with label 20th annual Michael Jordan Flight School. Show all posts
Showing posts with label 20th annual Michael Jordan Flight School. Show all posts

Sunday, 15 May 2016

EPL: MECHI YA MANCHESTER UNITED YASIMAMISHWA KWA SABABU ZA USALAMA


Mechi kati ya Manchester United na Bournemouth ilisimamishwa kabla ya haijaanza katokana na kugundulika kwa kitu ambacho polisi walidhani ni bomu...



Mechi ilichelewa kuanza na badae watu wakatolewa nje na zimamoto zikaingia...



Kitu walichodhani ni bomu kililipuliwa na wataalam wamabomu...Mechi itapangiwa siku nyingi....
Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 19 December 2015

MICHAEL JORDAN: JORDAN ASEMA LARRY BIRD ALIONGOZA KUONGEA OVYO NDANI YA COURT


Michael Jordan ambae ni Basketball legend amesema ingawa nayeye alikuwa anamdomo mchafu lakini aliyoongoza kuwa na mdomo chafu wakiwa wanacheza ni Larry Bird mchezaji wa zamani wa Boston Celtics...Alisema haya alipokuwa anahojiwa kwenye kipindi cha maswali na majibu ya 20th annual Michael Jordan Flight School ndani ya Santa Barbara, California...


Alisema forward huyo wa zamani wa Boston Celtics alikuwa anamdomo mchafu lakini sio kwa maneno mabaya...Bofya hapa uangalie Jordan anavyoosema.