Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label URA. Show all posts
Showing posts with label URA. Show all posts
Sunday, 14 January 2018
Monday, 11 January 2016
MAPINDUZI CUP: URA NDANI YA FAINALI YANGA NJE
Yanga imetolewa nje michuano ya Mapinduzi na URA ya Uganda kwa matuta baada ya kutoka sare ya mabao 1-1...Mechi ilikuwa kali sana na ya viwango dhabit kabisa na wageni kutoka Uganda walishinda 4-3 kwenye matuta...URA watachea na Mtibwa Sugar kwenye fainali Jumatano tarehe 13 January ndani ya Uwanja wa Amaan...Katika mechi nyingine watani wa jadi Simba SC wametupwa nje na Mtibwa Sugar kwa bao 1-0...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)
