Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Toloun. Show all posts
Showing posts with label Toloun. Show all posts
Friday, 22 July 2016
ARSENAL FC: DOGO ROB HOLDING AINGIA ARSENAL AKITOKEA BOLTON WANDERERS
Arsenal imekubali kumchukua dogo Robert Samuel "Rob" Holding kwa muda mrefu...Holding ni beki makini ambae alikuwa Bolton Wanderers...Dogo Holding mwenye umri wa miaka 20 alifanya vizuri sana Bolton na kuondoka na tuzo ya mchezaji bora wa msimu...Pamoja na hayo ameisaidia timu ya England U-21 kushinda mashindani ya Toulon huko France akiwa na Calum Chambers...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)
