Showing posts with label TPDF. Show all posts
Showing posts with label TPDF. Show all posts

Thursday, 18 August 2016

NETBALL: TPDF MABINGWA BAADA YA KUITOA KENYA


TPDF wamekuwa mabingwa wa michuano ya Netball ya majeshi na utamaduni ya Afrika Mashariki yaliyofanyika viwanja vya Amohoro Rwanda...TPDf waliwachapa Kenya 39-33 katika game kali sana...TPDF walishinda game zao zote 3...Bofya hapa upate habari zaidi.