Showing posts with label St. James Park. Show all posts
Showing posts with label St. James Park. Show all posts

Tuesday, 8 December 2015

FA CUP: KLOPP NDANI YA FA CUP KWA MARA YA KWANZA



Liverpool inaingia St. James Park kucheza na Exeter katika round ya 3 ya FA Cup...Hii ni mara ya kwanza Jurgen Klopp anacheza mechi FA Cup...Arsenal ambao ni mabingwa wa FA mara 12 nao wataingia kucheza tena na Sunderland...Hapo awali Arsenal walishinda 3-1 kwa shida na kesho tutaona kama watachangamka zaidi...Bofya hapa upate habari zaidi.