Showing posts with label Sebastian Bassong. Show all posts
Showing posts with label Sebastian Bassong. Show all posts

Thursday, 12 May 2016

NORWICH CITY: SEBASTIAN BASSONG AWEKAREKODI KWA MCHEZAJI ALIYESHUKA DARAJA MARA NYINGI


Beki wa Norwich City ameweka rekodi ambayo wengi wasingependa kuwa nayo...Rekodi hiyo ni kwamba Sebastian Bassong ameshuka daraja mara 6 na sasa sijui nani atataka kumsajili maana asije weka rekodi nyingine...Timu zingine ambazo alishuka nazo daraja ni timu ya ufaransa Metz (mara 2), Newcastle na Wolves...


Sio kwamba ni mchezaji mbovu, hapana, ni mchezaji makini sana na beki mahiri sema matokeo ya ligi wanamkuta...Bofya hapa upate habari zaidi.