Showing posts with label Remi Garde. Show all posts
Showing posts with label Remi Garde. Show all posts

Monday, 2 November 2015

ASTON VILLA: REMI GARDE KOCHA MPYA



Aston Villa wameamua kumchukua kocha wa zamani wa Lyon, Remi Garde, baada ya kumtimua Tim Sherwood...Remi ambae ni mfaransa atasaini mkataba wa miaka 3 na nusu...Garde alikuwa midfielder na pia alikuwa mchezaji wa kwanza Arsene Wenger kumsajili...Amewahi kuichezea Lyon na Strasbourg...Bofya hapa upate habari zaidi.