Showing posts with label Lee Westwood. Show all posts
Showing posts with label Lee Westwood. Show all posts

Sunday, 19 June 2016

US OPEN 2016: SHANE LOWRY AONGOZA US OPEN


Shane Lowry anaongoza michuono mikubwa sana kwenye calender ya Golf...Lowry yuko -5 akifuatiwa na Andrew Landry -2...Sergio Garcia, Lee Westwood na Dustin Johnson wote wako -1...Lowry bado ana mashimo 4 ya kumalizia kabla hajaanza round ya mwisho Jumapili ndani ya Oakmond Country Club...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 11 April 2016

THE MASTERS 2016: DANNY WILLEtT KUTOKA ENGLAND ACHUKUA KOTI LA KIJANI


Danny Willett ameshangaza ulimwengu wa Golf duniani alivyoshinda Masters 2016 huko Agusta Georgia...Aliyekuwa anategemewa, Jodran Spieth, alichemsha kwenye shimo la 3 round ya mwisho na kusababisha Danny Willett ashinde kwa -5 (67)...Hakuna mtu alitegemea Willett kushinda kwani Jordan Spieth ilikuwa ashinde kilaini lakini mambo hayakumwendea vizuri...Willett mwenye umri wa miaka 28  ameshinda Major yake ya kwanza na toka miaka 20 iliyopita hakuna mtu kutoka England aliyeshinda...Lee Westwood alimaliza wa 2 akiwa na -2 (69) akiwa na Jordan Spieth...Paul Casey alimaliza wa 3 akiwa na score ya -1...Bofya hapa upate habari zaidi.