Showing posts with label Kei Kamara. Show all posts
Showing posts with label Kei Kamara. Show all posts

Thursday, 3 March 2016

COLUMBUS CREW: KEI KAMARA AONGEZA MUDA COLUMBUS CREW


Forward wa Colubus Crew , Kei Kamara, amesaini mkataba mpya na timu yake ya Columbus Crew mpaka 2018...Kamara amesema amefurahi kuwa timu imempa mkataba mrefu wa kucheza first team ya Crew...Columbus Crew inacheza katika ligi kuu ya Marekani ya MLS (Major League Soccer) na Kamara ni kati ya wafungaji bora wa ligi hiyo...Kamara ambae amewahi kuchezea Middlesborough na Norwich City msimu uliopita walipata mabao 26...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 7 December 2015

MLS: PORTLAND TIMBERS MABINGWA KWA MARA YA KWANZA


Portland Timbers wameshinda kombe la Major League Soccer kwa mara ya kwanza baada ya kuwachapa Colombus Crew 2-1...Dakika 27 tu Diego Valeri  alipachika bao na dakika ya 7 Rodney Wallace aliwapeleka mbele Timbers...


Kei Kamara alipata bao la kufutia machozi dakika ya 18...Bofya hapa upate babari zaidi.