Sunday 28 July 2019

MFADHILI WA SIMBA SPORTS CLUB WA ZAMANI AZIM DEWJI APATA AJALI HUKO RUFIJI


Mfanyabiashara Azim Dewji amepata ajali mbaya wakati akielekea Rufiji Mkoa wa Pwani...
Dewji alikuwa anaelekea kwenye uwekaji jiwe la msingi Stieglers Gauge.

Mradi wa Stieglers wa kufua umeme kwa maji ulikuwa unawekewa jiwe na Mheshimiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.  John Pombe Magufuli.



Dewji amelazwa Taasisi ya Mifupa hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam

Hali yake inaendelea vizuri baada ya kupata majeraha mgongoni.

No comments:

Post a Comment