Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Uingereza. Show all posts
Showing posts with label Uingereza. Show all posts
Wednesday, 16 December 2015
BOXING: CHISORA ATAKA KUZICHAPA NA ANTHONY JOSHUA APRIL
Dereck Chisora yuko tayari kuingia ulingoni na Anthony Joshua mwezi wa 4...Chisora ametoka kumtwanga Javok Gospic na yuko tayari kumkabili Joshua...Chisora anataka mikanda ya Joshua ya Uingereza na Commonwealth...
Kambi ya Chisora imesema wameshaongea na kambi ya Anthony Joshua kuwa pambano lifanyike ndani ya O2 Arena tarehe 9 April...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 1 December 2015
MANCHESTER CITY: WACHINA WANUNNUA ASILIMIA 13 YA MAN CITY
Investors kutoka China wamenunua asilimia 13 ya Manchester City...Asilimia hiyo ni sawa na pounds za Uingereza milioni 265...Manchester City ni club ya thamani ya bilioni 3 dola za Marekani...Wachina walionunua hisa za Man City ni CMC (China Media Capital) na Citic Capital...
Ujio wa wachina hao utasaidia kukua kwa soka la Uingereza maeneo mengi hususan huko Asia...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)



