Showing posts with label Loius van Gaal. Show all posts
Showing posts with label Loius van Gaal. Show all posts

Sunday, 22 May 2016

MANCHESTER UNITED: JOSE MOURINHO KOCHA MPYA OLD TRAFFORD


Jose Mourinho atatangazwa kuwa kocha mpya wa Manchester United muda si mrefu...Mazungumzo yalianza siku nyingi na sasa uongozi wa Manchester United wamekubaliana Jose Mourinho awe kocha mpya...Louis van Gaal amjitahidi kidogo lakini bado Manchester United hawajakaa vizuri na wanahitaji msukumo mpya...Mourinho alikuwa kocha wa Chelsea lakini walimtimua na toka hapo alikuwa anatafutwa na timu kadhaa...Bofya hapa upate habari zaidi.