Showing posts with label Antonio Margarito. Show all posts
Showing posts with label Antonio Margarito. Show all posts

Friday, 1 July 2016

BOXING: ANTONIO MARGARITO KUZICHAPA NA KAKA YAKE CANELO ALVAREZ


Antonio Margarito bado anasafari ya kuja juu tena kwenye ulingo wa boxing na katika safari hiyo anakutana na kaka yake mkubwa Canelo Alvarez.

Bro huyo anaitwa Ramon Alvarez na atazichapa August 13 ndani ya Mexico.