Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Ahmed Hussein. Show all posts
Showing posts with label Ahmed Hussein. Show all posts
Friday, 3 June 2016
UGANDA: MELVYN LORENZEN BADO HAJAAMUA KUICHEZEA UGANDA
Mchezaji wa Werder Bremen, Melvyn Lorenzen, hajaamua kama ataichezea timu yake ya nyumbani ...Inamaanisha atakosa mechi ya Uganda dhidi ya Botswana kwenye mchuano wa African Cup of Nations...Afisa habari wa FA ya Uganda, Ahmed Hussein, amesema uamuzi rasmi utakuja baada ya mechi na Botswana Jumamosi ijayo...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)
