Showing posts with label Africa ya Kusini. Show all posts
Showing posts with label Africa ya Kusini. Show all posts

Wednesday, 6 July 2016

SOUTH AFRICA: OSCAR PISTORIUS AFUNGWA MIAKA 6


Mwanariadha mlemavu kutoka Africa ya Kusini, Oscar Pistorius, amefungwa miaka 6...Oscar amefungwa baada ya mahakama kusikiliza tena kesi yake ya kumuua rafiki yake wa kike...Mwanasheria wa Oscar amesema wamekubali hukumu hiyo...Bofya hapa upate habari zaidi.