Saturday 11 July 2020

RIADHA TANZANIA (RT) YATOA TAARIFA JUU YA MBIO ZA AUGUST MPAKA DECEMBER





Wandugu kalenda ya Mbio zilizo chini ya RT kwa Mwaka huu 2020 kuanzia August imefungwa Rasmi, ni Mbio 23 tu zilizopata baraka za RT kama list hapo chini inavyoonekana

*Kama kuna Mbio yoyote nyingine itakayotaka kufanyika katika kipindi husika tunawashauri wajiandae Kwa Kalenda ya Mwaka 2021

Mbio zilizopitishwa rasmi na ambazo zitakuwepo kwenye Kalenda ya RT ni zifwatazo

Tanzania Road & Non Road Races

August - December 2020

*Jumla ya Matukio:* 24
*August:* 6
*September:* 4
*October:* 3
*November:* 6
*December:* 5


1. *MAJIMAJI SELEBUKA FESTIVAL*
August 1-8

2. *NGORONGORO RACE*
August 2

3. *CRDB BANK DAR MARATHON*
August 16

4. *SELOUS MARATHON*
August 22

5. *DAR NIGHT RUN*
August 29

6. *KONDOA IRANGI MARATHON*
August 30

7. *SERENGETI MIGRATION MARATHON*
September 6

8. *NMB BIMA MARATHON*
September 12

9. *MASAKI CORPORATE RUN*
September 20

10. *TANGA MARATHON*
September 27

11. *CAPITAL CITY EVENING RUN*
October 3

12 *BURIGI-CHATO TRAIL RUN*
October 4

13. *ATLAS MARATHON*
October 14

14. *DAR BEACH RUN*
November 7

15. *KAHAMA MARATHON*
November 8

16. *SERENGETI SAFARI MARATHON*
November 14

17. *MKWAWA TRAIL RUN (MTR)*
November 21

18. *DODOMA MARATHON*
November 28

19. *ROCK CITY  MARATHON*
November 28

20. *UDSM MARATHON*
December 5

21. *DAR MARATHON*
December 8

22. *PANDE TRAIL RUN*
December 13
.
23. *IGOMBE MARATHON*
December 19

24. *LAKE DULUTI*
December 20


*Wahusika wa Mbio hapo juu wawakilishe taarifa zao za mawasiliano Kwa mfano hapo chini*

*Mbio:*
*Jina la Mhusika wa Mawasiliano 1.:*
*Cheo:*
*Namba ya Simu:*
*Email:*

*Jina la Mhusika wa Mawasiliano 2.:*
*Cheo:*
*Namba ya Simu:*
*Email:*

No comments:

Post a Comment