Argentina imeingia nusu fainali baada ya kuichapa Belgium 1-0...Argentina wanamshukuru Gonzalo Higuian aliyepachika bao hilo mapema tu...Argentina sasa wana ingia nusu fainali baada ya miaka 24...Higuian alipachika bao zuri ambalo lilitokana na cross kutoka kwa Di Maria ambayo ilikuwa deflected ikamkuta na akaweza kupiga volley mpira ukatingisha wavu...Messi nae aliwasaidia sana kwenye counter attacks...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 6 July 2014
WORLD CUP 2014: HIGUIAN AIPELEKA ARGENTINA NUSU FAINALI
Argentina imeingia nusu fainali baada ya kuichapa Belgium 1-0...Argentina wanamshukuru Gonzalo Higuian aliyepachika bao hilo mapema tu...Argentina sasa wana ingia nusu fainali baada ya miaka 24...Higuian alipachika bao zuri ambalo lilitokana na cross kutoka kwa Di Maria ambayo ilikuwa deflected ikamkuta na akaweza kupiga volley mpira ukatingisha wavu...Messi nae aliwasaidia sana kwenye counter attacks...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment