Arsenal sasa imesogea karibu kumchukua nyota wa mpira duniani Alexis Sanchez...Arsenal wamekubali kutoa millioni 34 pound za Uingereza ilikumyakua nyota huyo...Arsene Wenger atamhitaji sana Sanchez na hiyo combination ya Ozil, Sanchez na Walcott itakuwa hatari sana...pia combinationa ya Sanchez na Girud itakuwa matata sana...Ngoja tusubiri kwanza...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 8 July 2014
EPL: ARSENAL INAONGOZA MBIO ZA VIJITI ZA KUMCHUKUA ALEXIS SANCHEZ
Arsenal sasa imesogea karibu kumchukua nyota wa mpira duniani Alexis Sanchez...Arsenal wamekubali kutoa millioni 34 pound za Uingereza ilikumyakua nyota huyo...Arsene Wenger atamhitaji sana Sanchez na hiyo combination ya Ozil, Sanchez na Walcott itakuwa hatari sana...pia combinationa ya Sanchez na Girud itakuwa matata sana...Ngoja tusubiri kwanza...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment