Wednesday, 18 January 2017
VODACOM PREMIER LEAGUE: YOUNG AFRICANS (YANGA) YAVUNJA REKODI UWANJA WA MAJI MAJI
Mabingwa watetezi Young Africans wameshida mechi yao dhidi ya Maji Maji ya Songea 1-0...
Rekodi ilivunjwa baada ya miaka 30 katika uwanja wa Majimaji ya bila Yanga kuondoka na ushindi uwanja huo...Yanga sasa wamefikia pointi 43 nyuma pointi 1 tu dhidi ya watani wao wa jadi Simba...
Deus Makeke alitumia dakika 15 tu za kuamsha mashabiki wa Yanga baada ya kupokea kross safi kutoka kwa Haruna Niyonzima ambayo ilipanguliwa na kipa...Akipiga shuti kali nje ya 18...Kwa ujumla Yanga ilikuwa makini sana kwenye kiungo lakini safu ya mbele ilishindwa kufanikisha mabao zaidi...
Ni mechi ya kwanza kocha mpya George Lwandamina kushinda ugenini...Leo Mtibwa na Simba wanaingia dimbani katika uwanja wa Jamhuri Morogoro...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment