Yaya Toure hakutegemewa kurudi kambini kujiweka sawa dhidi ya Spurs Jumamosi lakini aliweza kurudi baada ya masaa 48...Yaya alikuwa ameenda kuchezea timu yake ya taifa ya Ivory Coast dhidi ya DR Congo...Baada ya game hiyo ya Toure alikamata pipa na kurudi Uingereza tayari kujifua na game ya Jumamosi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 17 October 2014
EPL: YAYA TOURE ARUDI KAMBINI FASTA
Yaya Toure hakutegemewa kurudi kambini kujiweka sawa dhidi ya Spurs Jumamosi lakini aliweza kurudi baada ya masaa 48...Yaya alikuwa ameenda kuchezea timu yake ya taifa ya Ivory Coast dhidi ya DR Congo...Baada ya game hiyo ya Toure alikamata pipa na kurudi Uingereza tayari kujifua na game ya Jumamosi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment