Dereva makini sana lakini msimu huu hajashinda kitu, Gurpal Sandhu, sasa anaongoza kwa points 58 katika mbio za kufukuzia taji la Guru Nanak Rally huko Arusha...Sandhu anaendesha mashine ya Mitsubishi akisaidwa na Absolam Aswani kutoka Kenya...Arusha Motor Sports Circuit (AMSC) ndio waandaaji wa haya mashindano na zaidi ya magari 20 yatachuana...Mashindano hayo yataanza Stable Square October 26 saa 2 asubuhi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 19 October 2014
GURU NANAK RALLY: GURPAL SANDHU AONGZA KWA POINTS
Dereva makini sana lakini msimu huu hajashinda kitu, Gurpal Sandhu, sasa anaongoza kwa points 58 katika mbio za kufukuzia taji la Guru Nanak Rally huko Arusha...Sandhu anaendesha mashine ya Mitsubishi akisaidwa na Absolam Aswani kutoka Kenya...Arusha Motor Sports Circuit (AMSC) ndio waandaaji wa haya mashindano na zaidi ya magari 20 yatachuana...Mashindano hayo yataanza Stable Square October 26 saa 2 asubuhi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment