Serena Williams kwa mara ya 15 sasa kamchapa maria Sharapova na kuingia fainali na mkali wa tennis kutoka China Li Na katika michuano mikali ya tennis ya Sony Open huko Miami Marekani...Li na alimchapa Dominika Cibulkova 7-5 2-6 6-3...Serena ni namba 1 duniani na Li na ni namba 2 katika rankings za dunia...Bofya hapa usome zaidi...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Saturday, 29 March 2014
TENNIS: SERENA KUZICHAPA NA LI NA
Serena Williams kwa mara ya 15 sasa kamchapa maria Sharapova na kuingia fainali na mkali wa tennis kutoka China Li Na katika michuano mikali ya tennis ya Sony Open huko Miami Marekani...Li na alimchapa Dominika Cibulkova 7-5 2-6 6-3...Serena ni namba 1 duniani na Li na ni namba 2 katika rankings za dunia...Bofya hapa usome zaidi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment