Novac Djokovic ameweza kufika round ya 4 ya michuano mikali huko Indian Wells, California, USA...Djokovic alimchapa kwa shida kidogo Alejandro Gonzales 6-1, 3-6, 6-1 ambaye ni namba 91 duniani kutoka Colombia...Set ya pili ilimpa tabu sana Djokovic kutokana na kupoteza serve na Gonzales kupambana na kuchukua set...Lakini set ya 3 alikuwa makini na kumalizia mechi 6-1...Bofya hapa kwa mwendelezo wa habari hizi...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 12 March 2014
BNP PARIBAS OPEN: DJOKOVIC AINGIA ROUND YA 4
Novac Djokovic ameweza kufika round ya 4 ya michuano mikali huko Indian Wells, California, USA...Djokovic alimchapa kwa shida kidogo Alejandro Gonzales 6-1, 3-6, 6-1 ambaye ni namba 91 duniani kutoka Colombia...Set ya pili ilimpa tabu sana Djokovic kutokana na kupoteza serve na Gonzales kupambana na kuchukua set...Lakini set ya 3 alikuwa makini na kumalizia mechi 6-1...Bofya hapa kwa mwendelezo wa habari hizi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment