Liverpool yasogea mbele ya Arsenal kwenye Premiership baada ya kuwafunga Southampton mabao 3 - 0...Sasa Liverpool wako nafasi ya pili chini ya Chelsea...Hii ni mara ya kanza Liverpool wananafasi ya kuchukua ubingwa toka 1990...Timu ya Brendan Rodgers ilishinda huko Southampton baada ya kufungwa na hiyo hiyo timu huko Anfield hapo awali...Bofya hapa upate habari zaidi....
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Sunday, 2 March 2014
EPL: LIVERPOOL AYASOGEA MBELE YA ARSENAL
Liverpool yasogea mbele ya Arsenal kwenye Premiership baada ya kuwafunga Southampton mabao 3 - 0...Sasa Liverpool wako nafasi ya pili chini ya Chelsea...Hii ni mara ya kanza Liverpool wananafasi ya kuchukua ubingwa toka 1990...Timu ya Brendan Rodgers ilishinda huko Southampton baada ya kufungwa na hiyo hiyo timu huko Anfield hapo awali...Bofya hapa upate habari zaidi....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment