Rais wa moja ya timu kubwa sana Ujerumani Bayern Munich, Uli Hoeness, aachia ngazi kutokana na mashtaka yanayomkabili ya kukwepa kodi...Uli aliwahi kuchezea Bayern Munich 1970-1979 kabla ya kustaafu kutokana na kuumia akiwa na miaka 27...Uli amepewa kufungo cha miaka mitatu na nusu na amesema hato appeal..."kukwepa kodi ni kosa kubwa nililolifanya maishani" alisema Uli...Amekwepa kodi liasi cha euro milioni 27 (ponds za Uingereza 22.5)...
Saturday, 15 March 2014
BUNDESLIGA: RAIS WA BAYERN AACHIA NGAZI
Rais wa moja ya timu kubwa sana Ujerumani Bayern Munich, Uli Hoeness, aachia ngazi kutokana na mashtaka yanayomkabili ya kukwepa kodi...Uli aliwahi kuchezea Bayern Munich 1970-1979 kabla ya kustaafu kutokana na kuumia akiwa na miaka 27...Uli amepewa kufungo cha miaka mitatu na nusu na amesema hato appeal..."kukwepa kodi ni kosa kubwa nililolifanya maishani" alisema Uli...Amekwepa kodi liasi cha euro milioni 27 (ponds za Uingereza 22.5)...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment