Ireland ilishinda michuano mikali ya Six Nations (Ireland, England, Wales, France, Scotland, na Italy)Rugby 2014 baada ya kumtoa Mfaransa 20-22...Ushindi huu mkubwa umekuwa wakati muafaka wakati kocha wa Ireland Brian O'Driscoll anaondoka hiyo timu baada ya miaka 15...O'Driscoll alishangiliwa sana na mashabiki wa pande zote mbili huko Stade de France...Bado Ireland wana timu nzuri hata bila kocha wao huyo...Bofya hapa upate mambo ya Rugby
Monday, 17 March 2014
SIX NATIONS 2014: IRELAND BINGWA YAMTOA MFARANSA
Ireland ilishinda michuano mikali ya Six Nations (Ireland, England, Wales, France, Scotland, na Italy)Rugby 2014 baada ya kumtoa Mfaransa 20-22...Ushindi huu mkubwa umekuwa wakati muafaka wakati kocha wa Ireland Brian O'Driscoll anaondoka hiyo timu baada ya miaka 15...O'Driscoll alishangiliwa sana na mashabiki wa pande zote mbili huko Stade de France...Bado Ireland wana timu nzuri hata bila kocha wao huyo...Bofya hapa upate mambo ya Rugby
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment